Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Linganisha fasihi simulizi na fasihi andishi

Linganisha fasihi simulizi na fasihi andishi

Answers


Peter
• Zote mbili zina tanzu mbili kuu ambazo ni fani na maudhui
• Zote huwa na dhima sawa kwa mfano kuelimisha jamii
• Zpote huburudisha
• Zote huwa na fanani na hadhira
• Huzaliwa, hukua na hata kufa kutegemea mabadiliko ya wakati.
• Zote zinaweza kukashifiwa na wasanii mbalimbali ikiwa hawajaridhishwa na mbinu za lugha zilizotumika.

Musyoxx answered the question on July 25, 2018 at 14:08

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions