Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Nini maana ya kijalizo katika sarufi ya Kiswahili?

Nini maana ya kijalizo katika sarufi ya Kiswahili?

Answers


Mwaniki
Kijalizo ni neno au maneno ambayo hutokea baada ya kitenzi kishirikishi(kipungufu/kikamilifu) ili Kukisaidi kuibua maana katika sentensi. Km. Mama yu shambani.
Shambani ni kijalizo.
Msichana ni mrembo.
Mrembo ni kijalizo.
Kaka ni shupavu sana.
Shupavu sana ndio kijalizo.
Tanbihi:kijalizo chaweza kuwa kivumishi au hata kielezi.
Mwageki answered the question on August 3, 2018 at 06:11

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions