Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kuonyesha maudhui ya ukandamizaji wa wanawake

Toa mifano katika hadithi ya mke wangu kuonyesha maudhui ya ukandamizaji wa wanawake.

Answers


kelvin
? Msimulizi kusema ‘Huyu ni mwanamke na wanawake ni kama watoto wadogo, hawaachi kisebusebu.
? Msimulizi anataka kumwoa mwanamke mshamba amstaarabishe kuonyesha anachukulia mwanamke ndiye anahitaji maongozi ya mwanamme ilhali ni kinyume.
? Kumdharau Fedhele kwa kutembea usiku wakiwa pamoja na mvulana ni kuchukulia wanawake kama vyombo visivyoweza kujidhibiti.

kevowmuchiri answered the question on August 10, 2018 at 10:22

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions