Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili uozo uliomo katika jamii ya sagamoyo katika tamthilia ya kigogo

Jadili uozo uliomo katika jamii ya sagamoyo katika tamthilia ya kigogo.

Answers


Mwangi
Kudharauliwa kwa wanawake.Wanawake wa sagamoyo wanadharauolika sana na wanaume na hawaruhusiwi kuongoza. Wanatumika kama pambo katika jamii.
Uongozi mbaya. Licha ya wananchi kutoa kodi kwa ajili ya maendeleo, viongozi hawawajibiki .
Migomo. Wachuuzi sokoni na walimu shuleni wanaandamana na wanagoma kwa sababu ya kutelekezwa na serikali.
Mauaji. Siku ya maandamano, vijana watano wanauliwa kinyama.
Mmercie answered the question on April 23, 2019 at 07:52

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions