Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili ufaafu wa jalada la tamthilia ya Kigogo

Jadili ufaafu wa jalada la tamthilia ya Kigogo.

Answers


Raphael
Jalada la tamthilia ya kigogo Lina picha ya mzee mmoja ambaye ana rungu mkononi ishara ya kuonyesha kupigania Uhuru wao na pia tunaona miale ya jua ambayo ina maana ya matumaini kuwa uongozi mbaya katika jamii ya sagamoyo utaisha na wananchi wataishi kwa amani.
Earlen answered the question on May 24, 2019 at 19:13

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions