Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza sifa tano za Ridhaa katika chozi la heri

Eleza sifa tano za Ridhaa katika chozi la heri.

Answers


Mwangi
1.Mwenye bidii. Hii inadhihirika pale anapohakikisha kwamba eneo lilipo jangwa limepata mabomba ya maji
2.Mwepesi wa moyo. Licha ya kukumbwa na majanga mengi hakati tamaa.
3.Mpenda amani. Kwa eneo wanaloishi pamoja na wengine wengi kuna rangi nyeupe inayoashiria amani.
4.Ni mwenye upendo.Hana ubaguzi wakati wa kusaidia. Anasaidia kila mtu pasipo kuangalia mapungufu yao kama wanadamu.
5.Mzalendo. Anatumikia watu wake na kulinda vitu vilivyo katika eneo wanaloishi
Mmercie answered the question on April 8, 2019 at 10:10

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions