Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

(A)Maghani ni nini? (B)Eleza fani zifuatazo za maghani. (i)Vivugo. (ii)Tondozi. (iii)Pembezi. (iv)Rara.

(A)Maghani ni nini?
(B)Eleza fani zifuatazo za Maghani.
(i)Vivugo.
(ii)Tondozi.
(iii)Pembezi.
(iv)Rara.

Answers


Seline
(A)Maghani ni utungo wa kishairi ambao hutongolewa kwa kutumia sauti iliyo kati ya uimbaji au uzungumzaji.

(B)(i)Vivugo ni Maghani ya kujisifu yanayotungwapapo hapo aghalabu na fanani anayejisifu.
(ii)Tondozi ni utungo wa kutukuza watu,wanyama,vitu.Husifu maumbile,sura,Tania na matendo.
(iii)Pembezi husifu watu wa aina Fulani katika jamii kutokana na mchango wao au matendo yao.Mfano:viongozi,wanamichezo,wanamuziki.
(iv)Rara ni utungo wa kishairi ambao husimulia mambo ya kubuni.Hutongolewa na kughaniwa kwa kusudi la kusisumua hadithi.
Belan answered the question on February 19, 2019 at 12:37

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions