Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja na ueleze kwa kifupi mambo ambayo hutawala matumizi ya lugha

Taja na ueleze kwa kifupi mambo ambayo hutawala matumizi ya lugha.

Answers


SAMUEL
1. Umri- mtu yeyote anayetumia lugha huathirika kulingana na umri wake , akili za motto huchukua muda mfupi was kuelewa lugha ilhali za MTU aliyekomaa hutumia muda mrefu
2. Mazingira - matumizi ya lugha yanaweza kuathiriwa na mazingira anamoishi mtumizi was lugha husika. Ikiwa mazingira Yale yanampa nafasi nzuri ya kujifunza au la. Mfano ni mtoto aliyeibiwa na wanyama katika jamii ya nyani baadaye ilibainika kuwa lugha yake iliathiriwa na makazi take na wanyama.
3. Maumbile ya MTU
4. Mbinu za ufundishaji wa lugha
5. Shinikizo LA kujifunza lugha
Sammy Njosh answered the question on June 3, 2019 at 21:28

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions