Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi: Tuiiitwa na baba. Mtendaji ni baba

Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi: Tuiiitwa na baba.
Mtendaji ni baba

Answers


Kavungya
- Mtu mwingine alituita mimi pamoja na baba. Sisi pamoja na baba
- Mimi na mtu mwingine tuliitwa na baba Mimi na watu wengine tuliitwa na
baba.
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:32

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions