Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza matumizi ya hali za "ka" na "hu" katika sentensi zifuatazo: (i) Balozi huja hapa kila mara. (ii) Mpishi alipika, akapakuwa na akagawa chakula.

Eleza matumizi ya hali za "ka" na "hu" katika sentensi zifuatazo:
(i) Balozi huja hapa kila mara.
(ii) Mpishi alipika, akapakuwa na akagawa chakula.

Answers


Kavungya
(i) Balozi huja hapa kila mara.
Hali ya mazoca kila mara kila siku mara kwa mara
(ii) Mpishi alipika, akapakuwa na akagawa chakula.
vitendo vinafuatana Mfulultzo wa vitendo Mfuatano wa vitendo Kufululizwa
kwa vitendo
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:35

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions