Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja

Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja

Answers


Maurice
Taarifa - mama amefika
Amri - fungeni mlango!
Ombi - Tafadhali nisamehe
Swali - unatoka wapi!
Mshangao - Salaale! Umeiba
maurice.mutuku answered the question on August 2, 2019 at 06:29

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions