Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

KIKAZA. ‘Wenzangu wote mwafahamu hadithi ya kobe?’ Mzee babu aliuliza. Wote walijibu, “ndio Eleza umuhimu wa hadithi ya kobe ukirejelea hadithi ya Kikaza.

KIKAZA.
‘Wenzangu wote mwafahamu hadithi ya kobe?’ Mzee babu aliuliza. Wote walijibu, “ndio
Eleza umuhimu wa hadithi ya kobe ukirejelea hadithi ya Kikaza.

Answers


Kavungya
(i) Kobe alitaka kupaa angani. Ni Bwana Mtajika alipotaka uongozi wa nehi ya tekede.
(ii) ndege walishirikiana na kobe kwa kumpa manyoya iii apate mbawa. Wanatekeda walishirkiana katika
kumchagua Bwana mtajika kuwa kiongozi.
(iii) Kobe alipofika angani alijipajina Sisa wote akachukua chochote kilicholetwa kwa ajili ya wote.
Bw Mtajika alijaa ubinafsi akajilimbikizia mali na kuacha raia kwa njaa, umaskini na magonjwa.
(iv) Waliokuwa karibu na Kobe walibahatika kupata masalio (waliomfaa) Marafiki wachache wa Mtajika
kama Bw. Machupa ndio walinufaika kutokana na uongozi wake.
(v) Ndege waliamua kumnyonyoa Kobe manyoya yao na kumwacha arudi ardhini. Raia waliudhishwa na Bw. Mtajika kwa kutowajali na wakatumia kura zao kumwangusha.
(vi) Nani asiyeona gamba lake Bw Mtaj ika alipoondolewa mmlakani aliaibika na kushindwa kufurahia maisha.
Kavungya answered the question on October 4, 2019 at 13:42

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions