Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika sentensi ifuatayo katika msemo halisi :- Mshtakiwa alidai kwamba alikuwa ameonewa kwa kuwa hakuwa ameshiriki ulevi kutoka mwaka uliokuwa umetangulia.

Andika sentensi ifuatayo katika msemo halisi :-
Mshtakiwa alidai kwamba alikuwa ameonewa kwa kuwa hakuwa ameshiriki ulevi kutoka
mwaka uliokuwa umetangulia.

Answers


Maurice
“Mimi nimeonewa kwa kuwa sijashiriki ulevi kutoka mwaka jana”.
Mshtakiwa alijitetea
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 14:07

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions