Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Nini maana ya kishazi?toa mifano ya vishazi

Nini maana ya kishazi?toa mifano ya vishazi.

Answers


Kelvin
Kishazi ni sehemu ya sentensi yenye kiima(nomino) na kiarifa(kitenzi)

Aina za vishazi

Kishazi huru-ni kishazi ambacho kina maana kamili kwani huweza kujitegemea chenyeme.Mfano;Amina ameanza kuimba baada ya kumaliza kusali.kwenye mfano huo

Amina ameanza kuimba-kishazi huru
Baada ya kumaliza kusali-kishazi huru


Kishazi tegemwzi-ni kishazi ambacho huhitaji kuunganisha na kingine ili kuleta maana.Mfano Mwanafunzi mwenye bidii atapita mtihani


Kelvin Otiende answered the question on May 10, 2020 at 09:56

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions