Uchanganuzi wa makosa ya kifonolojia ya lugha ya kiswahili yanayotokana na lugha ya kikuyu

Institution: Pwani University

Course: Bachelor of Education

Content Category: Research Projects

Posted By: Joe kinyua

Document Type: DOCX

Number of Pages: 23

Price: KES 70
Buy with Email    Buy via WhatsApp
    

Views: 413     Downloads: 0

Summary

Uchanganuzi wa makosa ya kifonolojia ya lugha ya kiswahili yanayotokana na lugha ya kikuyu

IKISIRI
Lugha ya kiswahili ina mfumo wa kifonolojia ambao una ubinafsi unapolinganishwa na lugha nyinginezo. Ingawa kiswahili ni lugha ya kibantu kunadhihirika tofauti anuwai tunapolinganisha muundo wa lugha hii na lugha ya kikuyu katika kiwango cha kifonolojia. Hii inasababisha utofauti unaosababisha kuwepo kwa athari za kifonolojia ambazo zinadhihirika katika matumizi ya lugha ya kiswahili na wazungumzaji wa lugha ya kikuyu. Hili linachangia kuwepo kwa utafiti huu utakaolenga uchunguzi wa makosa ya kifonolojia yanayotokana na lugha ya kikuyu katika kujifunza lugha ya kiswahili ili kutoa mapendekezo ya namna ya kutatua makosa hayo.


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • 10057_2.jpg
  • 10057_3.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


More Content By Joe kinyua


View all resources