Trusted by millions of Kenyans
Chat on WhatsApp

Uhakiki wa Tamthilia: Tunda la Msimu

372 Views
0 Purchases

Summary

Uhakiki wa Tunda la Musimu.

Ufaafu wa anwani
Neno tunda lina maana ya zao la mmea.
Msimu ni kipindi au wakati fulani wa jambo kutendeka.
Hivyo basi tunda la msimu katika tamthilia hii inamaanisha Ile hali ya kuwepo na hali fulani na ambayo hubadilika baadae

Mfano, baada ya nchi ya Mashaka kuongozwa na kiongozi katili na fisadi, inafikia wakati wa uongozi mbaya wa Liwali kutamatika na Mashaka kuwa na kiongozi mpya ambaye ni Ngozi.
Hii inadhihirisha msimu tu ambao umefika mwisho na msimu mwingine wa mafanikio kuanza.
.....................................

Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • Page 1 – Uhakiki wa Tamthilia: Tunda la Msimu  – Kenyaplex
  • Page 2 – Uhakiki wa Tamthilia: Tunda la Msimu  – Kenyaplex
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.

Recommended Resources

More Resources



View all resources  

What Our Users Say