Helpdesk: WhatsApp: 0736552548 Email: info@kenyaplex.com

Maswali na Majibu ya Matumizi Ya Lugha

Institution: Secondary

Course: Kiswahili

Content Category: Summaries

Posted By: 35824167

Document Type: PDF

Number of Pages: 30

Price: KES 70
Buy via WhatsApp
   Buy with Email        

Views: 18918     Downloads: 81

Summary

Maswali na Majibu ya Matumizi Ya Lugha

Brief Overview:

. (a) Badilisha sentensi ifuatayo iwe mazoea kwa kutumia kirejeshi “O”
Mtoto anayelia huchapwa
(b) Andika kinyume
Wavulana watatu wanaingia darasani kwa haraka.
(c) Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii:-
Kule ndimo alipoingia
(d) Taja aina za vitenzi vilivyopigiwa mstari katika sentensi iuatayo
Mama amewahi kupika jikoni
(e) Eleza maana ya misemo ifuatayo :-
(i) Giza la ukata…
(ii) Meza mate machungu
...............


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • 3219_0.jpg
  • 3219_1.jpg
  • 3219_2.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


More Content By 35824167


View all resources