Helpdesk: WhatsApp: 0736552548 Email: info@kenyaplex.com

Vifungu Kate Vya Darasa La Nane Kuanzia Kifungu A Mpaka K

Institution: Primary

Course: Kiswahili

Content Category: Summaries

Posted By: kjnk

Document Type: PDF

Number of Pages: 12

Price: KES 30
Buy via WhatsApp
   Buy with Email        

Views: 1571     Downloads: 5

Summary

Ni kitengo cha kwanza katika mtihani wowote wa darasa la nane.Kitengo hiki kina maswali kumi na matano. Na nitawasilisha vifungu kumi na kimoja kwa jumla ni maswali mia moja sitini na matano. Hiki ni kitengo muhimu kwa mwanafunzi anayejiandaa kupita karatasi ya kwanza ya kiswahili katika shule ya msingi.

Soma vifungu vifuatavyo .Vina nafasi 1 mpaka 15.kwa kila nafasi umepewa majibu manne .jaza kila pengo kwa jawabu lifaalo zaidi.kifungu A Uwezo wa_____1_____hutegemea namna mtu___2___kutumia vipawa vyake alivyotunukiwa na muumba.Kwa hivyo ,hatuna budi, yaani hatuna__3___,kujizatiti kutambua uwezo wetu,nafasi na_____4_____zilizopo zinazoweza kutusaidia maishani.Sharti tuelewe kuwa ikiwa viumbe duni kama vile wadudu wanatumia uwezo wao kujifaa____5____sisi wanadamu___6____Ushirikiano wetu pia ni muhimu kwani_______7_____.Elimu nayo yafaa kutuwezesha kufikiri ipasavyo_______8____kuiga mambo kama kasuku.
.............................


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • 3600_0.jpg
  • 3600_1.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources



View all resources