Trusted by millions of Kenyans
Chat on WhatsApp

Ripoti: Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza kiswahili na vipawa vya wasanii

3012 Views
1 Purchases

Summary

Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza kiswahili na vipawa vya wasanii. huu ni uchunguzi wa REDIO MAISHA na Gazeti laa taifa leo.

INKISIRI
Utafiti huu ulishughulikia mchango wa vyombo vya habari katika kukuza vipawa vya wasanii. Mtafiti alisoma Makala mbalimbali ya magazeti na pia katika mtandao na kusikiliza vipindi mbalimbali vya Redio.Utafiti huu ulilenga kuonyesha umuhimu wa vyombo vya habari katika kueneza vipawa vya wasanii ambao huishia kueneza lugha mahsusi. Hata hivyo, utafiti huu umejikita katika maenezi ya lugha ya Kiswahili. Utafiti huu ulifanyiwa maktabani na nyanjani.
Aidha mtafiti alisoma nakala mitandaoni iliyomwelekeza katika utafiti wake. Katika utafiti wa nyanjani, mtafiti aliweza kutagusana na wahusika ana kwa ana ambao walifanikisha utafiti wake...........
.................................

Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • Page 1 – Ripoti: Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza kiswahili na vipawa vya wasanii – Kenyaplex
  • Page 2 – Ripoti: Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza kiswahili na vipawa vya wasanii – Kenyaplex
  • Page 3 – Ripoti: Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza kiswahili na vipawa vya wasanii – Kenyaplex
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.

Recommended Resources

More Resources



View all resources  

What Our Users Say