Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tambua umuhimu wa shirikina katika jamii

Tambua umuhimu wa shirikina katika jamii

Answers


KELVIN
a)Kukataza maovu.
b)Kuhifadhi utamaduni.
c)Kuchangia umoja wa kitaifa kwa aina moja ya itikadi kupatikana katika jamii nyingi.
d)Kutujulisha kuhusu itikadi za watu

kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:38

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions