Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza changamoto zilizoukabili usanifishaji wa kiswahili.

Eleza changamoto zilizoukabili usanifishaji wa kiswahili.

Attachments

Answers


Daniel
Mizozano kuhusu lahaja ipi ikubaliwe ili kusafinisha kiswahili ilitokea na kutatiza shughuli ya kusafinisha.

Wahusika katika kusafinisha kiswahili walikuwa wageni wazungu hivyo kushindwa kuendendeleza maneno mengine vibabaya mfano nje badala ya nge.

Wataalamu was lugha ya kiswahili walikuwa wachache sana.

Kiswahili kilipingwa sana na wakoloni kama vile waingereza hivyo kuoneka lugha shenzi iliyohusika na watu washenzi.

Wakoloni wazungu hawakuwa na mikakati yoyote kuhusiana na lugha ya kiswahili.

Wazungu walipinga sana kiswahili kwani waliiona kama kifaa cha waafrika walichokitumia kupigania Uhuru wao.
Kukosekana kwa wasomi waafrika waliobobea katika lugha ya kiswahili ilikuwa changamoto kubwa kwani watu walikuwa wacheche waliozungumza kiswahili.

Wakati wa wakoloni kiswahili hakikufunza katika baadi ya badrasa kwa hivyo kikapewa nafasi finyu.
Gitucho9 answered the question on February 2, 2018 at 13:47

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions