Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja. i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.

a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja.
i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.
ii)Wasafiri wameapa kutosafiri katika magari hayo makuukuu.


b).Kamilisha methali zifuatazo.
i)Cha kuvunda hakina...............
ii)............vyajiuza vibaya vyajitembeza.
iii)Aambiwaye akakataa................

Answers


Davis
a.i)Mwalimu amekaribisha mama shuleni.
ii)Msafiri ameapa kutosafiri katika gari gilo kuukuu.

b.i)ubani
ii)Vyema
iii)hujionea mwenyewe.
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:48

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions