Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo. i) Lo! lo! yule ni nani? ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna. iii)Zii! kwani wewe huna aibu? b)Tegua vitendawili vifuatavyo. i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa...

a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo.
i) Lo! lo! yule ni nani?
ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna.
iii)Zii! kwani huna aibu?

b)Tegua vitendawili vifuatavyo.
i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa ufunguo.
ii)Nyumba yangu kuu lakini ina mlango mdogo.
iii)Nimeanika mpunga wangu usiku kulipopambazuka sikuuona.
iv)Haukamatiki wala haushikiki.

Answers


Davis
a)i)Lo! lo!
ii)Salaala!
iii)Zii!

b)i)Moyo
ii)Chupa
iii)Nyota
iv)Moshi/Upepo.
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:29

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions