Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza athari za lugha ya kwanza

Eleza athari za lugha ya kwanza.

Answers


Sheldon
Lugha ya kwanza huleta kuenea kwa ukabila nchini, pale ambapo, mtoto hukua akijua yeye anajihusisha na kabila fulani.
Lugha ya kwanza pia humfanya mtoto kutojua vyema lugha rasmi na hiyo humuadhiri kimasomo.
Kuongezea, lugha ya kwanza ina maneno machafu ya ambayo watoto wengi huiga na ivo kueneza mbinu potovu.
Halikadhalika, huadhiri utendakazi wa watoto kwa maana wata jihusisha sana na watu wanaongea lugha moja na wao hivo kutoleta uhuiano.
Sheldon Alvin answered the question on September 24, 2018 at 09:24

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions