Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

1. (a) Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki- ya masharti. Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni (b)Taja aina mbili za mofimu. 2 (a)Taja sababu mbili zinazomfanya mzungumzaji kutumia...

1.a)Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki- ya masharti.
Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni
b)Taja aina mbili za mofimu


2 a)Taja sababu mbili zinazomfanya mzungumzaji kutumia zaid ya lugha moja katika mazungumzo katika nyanja za isimu jamii
b)Taja natharia mbili za chimbuko la kiswahili

Answers


Davis
1.a)Tukilala sana tutachelewa kwenda shuleni
b)-Mofimu huru
-Mofimu tegemezi.


2.a)-Athari ya lugha ya kwanza
-Kutoelewa lugha ya mazungumzo
-Tofauti za umri kwa wanaozungumziwa kwa pamoja.
b)-Ni lugha ya kibantu
-Ni lugha ya kiarabu.
Githiari answered the question on June 9, 2018 at 16:16

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions