Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza dhamira ya mwandishi katika hadithi ya kidege

Eleza dhamira ya mwandishi katika hadithi ya kidege

Answers


Ras
1. Katika hadithi ya kidege, Mwandishi anadhamiria kuonyesha, jinsi wenye nguvu hupanga kuwadhulumu wasio na nguvu. Mfano; tunaona midege ikisimama kando ya ziwa, ikingoja samaki watokee iwale.
2. Mwandish pia analenga kututhihirishia ukweli kwamba, umoja ni nguv na utengano ni udhahifu. Mfano; kidege pamoja na ndege wengine wanashirikiana kuitorosha ile midege mikubwa.
Rasmartoo answered the question on September 11, 2018 at 21:48

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions