Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

(A)(i)Miviga ni nini? (ii)Fafanua sifa zozote za miviga.

(A)(i)Miviga ni nini?
(ii)Fafanua sifa zozote za Miviga.

Answers


Seline
(i)Miviga ni sherehe za kitamaduni zinazoambatanishwa na nyimbo pamoja na ngoma katika jamii.
(ii)Huongozwa na watu maalum.
Huhusu utamaduni wa jamii husika.
Hufuata utaratibu maalum.
Kuna kula viapo na matambiko kutolewa.
Hufanywa wakati maalum.
Huambatana na mawaidha au ulumbi.
Kuna kutolewa kwa kafara.

Belan answered the question on February 19, 2019 at 11:48

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions