Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza jinsi wanasagamoyo wanavyopambana na uongozi mbaya

jinsi wanasagamoyo wanavyopambana na uongozi mbaya

Answers


Caroline
1.maandamano, wanasagamoyo wanaandamana kwa kufungiwa soko, walimu madaktari pia waandamana.
2. kufanya uchunguzi, Tunu anapanga kufanya uchunguzi wa kilichomuua Jabali.
3. kususia mkutano wa Majoka na kuandaa wao katika soka La chapakazi.
4.kukataa kutumiwa na viongozi. Tunu anakataa kuozwa Ngao junior, Sudi anakataa kuchongea Majoka kinyago.
5.Tunu anakashifu Mamapima kwa kuuza pombe haramu na kukiuka katiba ya nchi.
6.Ashua anakataa kuandikwa Kazi kwa Majoka and Majoka academy na pia penzi lake

mwalimu caroline answered the question on March 18, 2019 at 10:14

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions