Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Uongozi mbaya unaiathiri pakubwa Sagamoyo. Fafanua

Uongozi mbaya unaiathiri pakubwa Sagamoyo. Fafanua

Answers


Raphael
Uongozi mbya unachangia pakubwa kwanza kufungwa kwa soko la Chapakazi ambapo soko hilo ndilo lililo kuwa linawapa riziki wanasagamoyo. Pili ni kwamba uongozi mbaya umechangia watu kupewa vibali vya kufanya biashara haramu Kama vile mamapima anavyopewa kibali cha kuuza pombe haramu na Majoka. Pia uongozi mbaya umechangia kwa kuumizwa kwa wananchi Kama vile tunavyoona Majoka anapotuma wafuasi wake wakamwangamize Tunu.
Earlen answered the question on May 24, 2019 at 19:08

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions