Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.
“Hatuwezi kumaliza kula, kila leo tunakula”(a) Eleza mukadha wa dondoo hili.(b) Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika.(c) Eleza umuhimu wa mnenaji.(d) “Lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza” Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa kauli hii.
Answer Attachments
Next: The equation of a circle centre (h, k) is 2x2 + 2y2– 8x + 5y + 10 = 0. Find the values of h and...
Previous: Make y the subject of the formula given
View more Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index
“Hebu sikiza jo! Pana hasara gani nzi kufia kidondani?”a) Eleza muktadha wa dondoo hili.b) Taja na utoe mifano ya mbinu nne za lugha zilizotumika katika dondooc) Onyesha ukweli wa kauli “ nzi kufia kidondani” unavyodhihirishwa na wahusika katika hadithi.
Date posted: May 6, 2019 . Answers (1)
“ Wahusika katika hadithi shibe inatumaliza wanatumia uhuru wao vibaya.” Onyesha ukweli wa kauli hii kwa kutoa mifano.
“… Ningeondoka shuleni mapema niende niibe au niue ili niwe mtu wa maana.”a) Eleza muktadha wa maneno hayab) Onyesha vile kinaya kinavyojitokezac) “ Kinaya kimetumika kwingine kwingi katika hadithi ya Mwalimu Mstaafu.” Thibitisha
“ Mwandishi wa haditi ya Tumbo lisiloshiba ametumia mbinu ya Jazanda kwa ufanisi mkubwa.” Thibitisha
Ilikuwa kama vile katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji huo wa kitanzi.a) Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo.b) Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika hadithi nzima.c) Onyesha dhiki iliyompata mrejelewa kwa kukosa kuvitambua vipengele hivyo.
"Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!"a) Eleza muktadha wa dondoo hii.b) Taja na ufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.c) Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyo jitokeza katika hadithi nzima.d) Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo.
Jadili mashaka ya Mashaka katika hadithi ya “Ndoto ya Mashaka”
“Rasta twambie bwana!”a) Weka dondo katika muktadhab) Taja mbinu zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hilic) Ni kwa vipi mzungumziwa anamchukulia mwalimu mkuu kama hambe?d) Je, mtihani wa maisha ni amwani faafu ya hadithi hii.
Bara la Afrika limekumbwa na umaskini mkubwa. Fafanua dhana ukirejelea hadithi ya Tumbo lisiloshiba na Mapenzi ya Kifaurongo
“..Wanafunzi wa chuo kikuu si kama watoto vikembe wa shule ya chekechea…..”a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.b) Taja na ufafanue tamathali ya usemi uliyotumiwa katika dondoo hilic) Hadithi hii inadhihirisha utegemezi wa binadamu. Fafanua.
Onyesha jinsi maudhui ya utabaka na mapenzi ,yanavyojitokeza katika hadithi ya mapenzi ya kifaurongo.
Huku ukirejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na Shibe Inatumaliza, fafanua maudhui ya ukiukaji wa haki.