Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tunga sentensi hii upya kwa kufuata maagizo: Wasichana wanaingia darasani kwa haraka (andika kinume chake)

Tunga sentensi hii upya kwa kufuata maagizo: Wasichana wanaingia darasani kwa haraka (andika kinume chake)

Answers

Kavungya
Wasichana wanatoka darasani polepole/taratibu/ asteaste/ halahala/ala
ala.
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:45

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions