Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja na ueleze dhima tano ambazo sajili za lugha hutekeleza

Dhima ambazo sajili za lugha hutekeleza

Answers


Ochieng
°kutofautisha mtindo wa lugha miongoni mwa watumiaji na kutambulisha watumiaji
°kunogeza lugha na kuipa ladha kwa kufanya mazungumzo yavutie
°Ni njia moja ya kuikuza na kuitajirisha lugha kwa kuunda msamiati mpya
°kuimarisha fasihi simulizi kwa kuibuka kwa misimu
°kuondoa taswishi katika kutumia lugha katika jamii
SAW answered the question on May 14, 2019 at 12:28

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions