Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Thibitisha kuwa ulitima ni kati ya maudhui ya hadithi ya mkubwa.

Thibitisha kuwa ulitima ni kati ya maudhui ya hadithi ya mkubwa.

Answers


Kavungya
• Mhusika mkubwa alikuwa maskini sana. Mweruli aliokuwa nao ulikuwa umekatika mfumbati na kungoka misumari mitatu
• Gari aliloabiri mkubwa lilipita Madongoporomoka sehemeu ya wachochole
• Alipitia vichochoro vyenye vijumba vikongwe kudhihirisha umaskini
• Biashara ya kukaanga pweza ilikuwa yenye pato dogo tu
• Wakati alipomwelezea Mkumbukwa nia ya kugombea uongozi alimweleza kuwa anahitaji kuingia siasa ili kuachana na umaskini
• Watu waliompigia kura walipew sukari unga kanga au mchele kuashiria umaskini
• Maisha awali ya mkubwa yalikuwa maisha duni hata kupata chakula ilikuwa shida
• Mkubwa hakuwa na mavazi alivaa nguo zilizojaa viraka
• Wakati anabadilisha taili za nyumba yake ,taili alizotoa ziling’ang’aniwa na maskini ili wang’arishe nyumba zao
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 07:43

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions