Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Fafanua mikakati mitano inayoweza kuchapuza kukua na kuenea kwa kiswahili nchini Kenya

Fafanua mikakati mitano inayoweza kuchapuza kukua na kuenea kwa kiswahili nchini Kenya

Answers


Maurice
i) Sera madhubuti – hii itaelekeza hatua za kupanga na kuendeleza lugha. Pia itabainisha nyanja na maeneo ya matumizi ya Kiswahili

ii) Kuamrisha Kiswahili – kitumiwe kama lugha ya kufundisha baadhi ya masomo, somo la lazima

iii) Ufadhili wa miradi ya utafiti

iv) Maandalizi mema ya walimu na wataalamu wa Kiswahili

v) Kubuni vyombo vya kukuza Kiswahili

vi) Kusisotiza matumizi ya lugha sanifu

vii) Serikali kufadhili uandishi na uchapishaji wa vitabu vya sarufi

viii) Kuingiza Kiswahili kwenye kompyuta

ix) Kuunda jopo la kitaifa la wataalamu – lengo leo ni kutoa mwongozo kuhusu Kiswahili na maendeleo yake
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 10:07

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions