Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

"Maisha yangu yalijaa shubiri tangu utotoni." Rejelea Chozi la heri.

a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili.

Answers


Mercy
a) Ni maneno ya Chandacheme akiwaambia Kairu, Umu,Zohali na Mwanaheri wamo bwenini katika shule ya Tangamano.Chandachema anawasimulia dhiki alizopitia tangu kuzaliwa kwake.
b) Nahau-Kujaa shubiri
Malesh91 answered the question on June 15, 2020 at 12:28

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions