Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Huku ukitoa mfano mwafaka bainisha tofauti za kifonolojia na kimofolojia katika lahaja za kimvita ,kivumba na kiswahili sanifu

Huku ukitoa mfano mwafaka bainisha tofauti za kifonolojia na kimofolojia katika lahaja za kimvita ,kivumba na kiswahili sanifu

Answers


Faith
• Kimvita
Tofauti ya kimofolojia katika lahaja ya kimvita ni kuwa viwakilishi nafsi hubadilishwa kwa mfano;
Mimi - miye
Sisi - swiswi
Ni sisi - ndiswi
Tofauti nyingine ya kimofolojia ni kwamba aghalabu kiwakilishi nafsi (ni) huondolewa Kisha sauti(k) na (t) hutamkwa kwa mpumuo k.v
Nikifi - 'kifika
Nikitoka - 'kitoka
Nikaja - 'kaja
• Kivumba
Tofauti za kifonolojia ni;
Sauti (p) hutamkwa (b) na sauti (t) Kama ( r) mfano
Kupata -kuBara
Taja - raja
Mafuta - mafuta
Uta - Ura
Sauti (ch) hutamkwa Kama (ky) kwa mfano
Vyakula - kyakula
Cheo - kyeo
Chumba - kyumba

Sauti (nd) hutamkwa Kama (nj) kwa mfano
Ndewe - njewe
Winda - winja
Andika - anjika

Titany answered the question on December 6, 2021 at 09:28

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions