Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Akifisha sentensi ifuatayo: mwalimu kazungu alimuuliza mwanafunzi je unataka kunidanganya kuwa ulifika shuleni mapema

Akifisha sentensi ifuatayo:
mwalimu kazungu alimuuliza mwanafunzi je unataka kunidanganya kuwa ulifika shuleni mapema

Answers


Kavungya
Mwalimu Kazungu alimuuliza mwanafunzi, “Je,unataka kunidanganya kuwa ulifika shuleni mapema?”
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 09:12

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions