Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tunga sentensi moja kubainisha tofauti kati ya maneno haya: Paka na baka

Tunga sentensi moja kubainisha tofauti kati ya maneno haya:
Paka na baka

Answers


Kavungya
Paka hawezi kumbaka mwenzake jinsi wafanyavyo binadamu.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 09:16

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions