-
Andika maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii :-
Alimlilia mwanawe
Date posted:
October 7, 2019
-
Badilisha sentensi hizi hadi usemi wa taarifa:-
(i) “Nitarudi tu ikiwa mtakubali kuomba msamaha”. Juma alisema
(ii) “Elezeni vile mlivyokuja hapa na namna mtakavyokwenda.” Mwalimu mkuu alisema
Date posted:
October 7, 2019
-
Weka sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea:-
Mmea ambao unapandwa katika msimu wa masika unamea
Date posted:
October 7, 2019
-
Andika sentensi ifuatayo bila kutumia “amba”:-
Jitu ambalo linatusumbua sharti liadhibiwe vikali
Date posted:
October 7, 2019
-
Eleza maana ya semi hizi :
(i) Kunja jamvi
(ii) Piga kambi
Date posted:
October 7, 2019
-
Taja mianzo mitatu tofauti ya ngeli ya U-ZI
Date posted:
October 7, 2019
-
Tunga sentensi mbili kubainisha maana tofauti ya maneno yafuatayo:-
(i) Kuna
(ii) guna
Date posted:
October 7, 2019
-
Andika katika hali ya ukubwa
Mwanamke huyu amezaa watoto wanne.
Date posted:
October 7, 2019
-
Unda nomino mbili mbili kutokana na vitenzi vifuatavyo:-
(i) abudu
(ii) fisidi
Date posted:
October 7, 2019
-
Tumia ‘‘O’’ rejeshi ya kati
Lisemwalo silo liwalo
Date posted:
October 7, 2019
-
Tunga sentensi ambayo ina aina za maneno uliyopewa:-
N + V + V + T
Date posted:
October 7, 2019
-
Tumia – ‘ako’ katika sentensi kama:
i) Kivumishi
ii) Kiwakilishi
iii) Kitenzi
Date posted:
October 7, 2019
-
Andika udogo wa:
Magari yote yaliyobakia yatauzwa na mzee yule mwembamba
Date posted:
October 7, 2019
-
Taja sifa mbalimbali za sauti zifuatazo:
/Z/
/K/
Date posted:
October 7, 2019
-
Changanua sentensi ifuatayo ukitumia njia ya matawi :-
Amekuja kuwatembelea manusura waliopata ajali ya ndege
Date posted:
October 7, 2019
-
Ainisha viambishi katika neno lifuatalo:
atakuajiri
Date posted:
October 7, 2019
-
Andika katika wingi
Meza ii hii ndiyo aliyotumia kulia
Date posted:
October 7, 2019
-
Nyambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendewa
i) cha …
ii) nywa
Date posted:
October 7, 2019
-
Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi: ‘umba’
Date posted:
October 7, 2019
-
Unda nomino za/lm,k, dhahania kutokana na maneno yafuatayo :-
i) Kwea .
ii) Himarisha
Date posted:
October 7, 2019
-
Eleza maana mbili ya sentensi:-
Tumetengeneza barabara
Date posted:
October 7, 2019
-
Huku ukitumia mifano mwafaka, eleza tofauti ya sentensi sahili na ambatano
Date posted:
October 7, 2019
-
Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:-
Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.
Date posted:
October 7, 2019
-
Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi
(i) Dhamani
(ii) Thamani
Date posted:
October 7, 2019
-
Andika udogo wa sentensi:-
Ndama wa ng’ombe yule ameuzwa.
Date posted:
October 7, 2019
-
Tunga sentensi sahihi ukitumia –wa- katika kauli ya kutendeana
Date posted:
October 7, 2019
-
Onyesha matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo:-
(a) Alama ya mshangao
(b) Mshazari
Date posted:
October 7, 2019
-
Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna,
kivumishi,kitenzi na jina
Date posted:
October 5, 2019
-
Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’
Date posted:
October 5, 2019
-
Unda kitenzi kimoja kutokana na nomino ‘Mtubia”
Date posted:
October 5, 2019