Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.
Ask, answer and revise exam-style questions across Kenyan subjects and professional courses.
2200 Questions View: All Solved Unsolved
Tunga Sentensi tano kuonyesha matumizi matano tofauti ya neno KWA
Tunasema kifurushi cha kalamu………………………….. ya ndizi
Fafanua maana ya methali: Waso haya wana mji wao
Tumia kitenzi KAA inavyofaa kujazia nafasi zilizoachwa i)Onyango alipofika mkutanoni alikosa mahali pa……………….. ii)Watu walikuwa wamejaa na hapakuwa na kiti hata kimoja cha
Andika maneno mengine yenye maana sawa na i)Damu ii)Jura
Zifuatazo ni sehemu gani za mwili (i) Kisugudi (ii) Nguyu
Tunga sentensi moja ukitumia – ki – ya masharti
Unda jina kutokana na kivumishi hiki;Refu
Andika sentensi ifuatayo kwa wingi Uwanja mwingineo umechimbuliwa kuongeza ule wa zamani