Riwaya ya Nguu Za Jadi: Ufaafu wa Anwani, Maudhui, Sifa na Umuhimu a Wahusika, Mbinu Za Uandishi na Lugha

Institution: University and secondary school

Course: Languages and Literature

Content Category: Summaries

Posted By: 07987710xx

Document Type: DOCX

Number of Pages: 29

Price: KES 150
Buy with Email    Buy via WhatsApp
    

Views: 38681     Downloads: 105

Summary

??NGUU ZA JADI SUMMARY??

Riwaya ya Nguu Za Jadi: Ufaafu wa Anwani, Maudhui, Sifa na Umuhimu a Wahusika, Mbinu Za Uandishi na Lugha.

Ufaafu wa Anwani: Nguu za Jadi
Nguu ni vilele vya milima. Katika riwaya hii, neno hili limetumiwa kisitiari, kuwakilisha
vikwazo au matatizo yanayokumba jamii inayozungumziwa. Kwa hivyo, Nguu za Jadi ni
vikwazo ambavyo vimekuwepo kama desturi au kanuni za maisha, na ambavyo vinadumaza
maendeleo ya jamii.
Mifano ya vikwazo hivyo kutoka katika riwaya ni:
1.Mila ambazo zinawadunisha wanawake na kuwanyima uhuru wa kujiendeleza.
Mifumo ya uongozi mbaya inayosababisha ufisadi, ukabila, utabaka, ubinafsi, hali ya
kutowajibika, ufujaji wa mali za umma, uharibifu wa mazingira, ukiukaji wa haki za
watoto, ukatili na wizi wa mali ya umma.
2. Mila zinazomnyima mtoto wa kiume nafasi ya kujiendeleza. Mila hizi zimemtelekeza
mtoto wa kiume kwa kutothamini elimu na maendeleo yake.
3. Umaskini uliokithiri.
4.Matumizi na ulanguzi wa dawa za kulevya.
5.Changamoto za ndoa na ukahaba.
.............


Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • 12384_1.jpg
  • 12384_2.jpg
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.


More Resources


More Content By 07987710xx


  • Uhakiki wa Tamthilia: Tunda la Msimu

    Uhakiki wa Tunda la Musimu. Ufaafu wa anwani Neno tunda lina maana ya zao la mmea. Msimu ni kipindi au wakati fulani wa jambo kutendeka. Hivyo basi tunda la msimu katika tamthilia hii...

    Price: KES :  150

View all resources