Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja njia zinazotumiwa na jamii ya sasa kuhifadhi Fasihi Simulizi.

Taja njia zinazotumiwa na jamii ya sasa kuhifadhi Fasihi Simulizi.

Answers


KELVIN
a)Tamasha za muziziki kunakokaririwa na kuimbwa mashairi.
b)Sherehe za arusi, jando, mazishi mawaida.
c)Utegaji na uteguaji wa vitendawili kupitia redio na runinga.
d)Sarakasi za wasanii huhifadhi kipera cha vichekesho.
e)Ngoma za kienyeji kama isukuti katika hafla za kisiasa na harusi.
f)Utambaji wa hadithi hasa katika sehemu za mashambani.

kalvinspartan answered the question on October 21, 2017 at 09:55

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions