Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja na ueleze aina mbili za usikilizaji

Taja na ueleze aina mbili za usikilizaji.

Answers


mary
Kuna usikilizaji aina mbili yaani; usikilizaji mpevu na usikilizaji wa ubunifu.
usikilizaji mpevu
Pia huitwa usikilizaji wa uhakiki.Huu ni ule usikilizaji ambao humwezesha mtu kupata ujumbe ambao anauchanganua ili kudhibitisha kuwepo au kutokuwepo au kiwamgo cha ukweli katika ujumbe unaowashilishwa.
Usikilizaji wa ubunifu.
Usikilizaji huu unahusu matumizi ya ishara mbali mbali za kiisimu akilini ili kuwezesha kufasiri ujumbe. Humwezesha mtu kutokana na umakinifu wake katika kusikiliza aweze kuona picha akilini kutokana na kinachozungumzwa. usikilizaji wa aina hii humwezesha msikilizaji kuweza kuchukua msimamo wake kwa kile kinachozungumziwa.
maryann1 answered the question on March 29, 2018 at 11:41

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions