Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Maudhui ya elimu katika Kidagaa

Maudhui ya elimu katika Kidagaa.

Answers


dantanoquido
Maudhui ya elimu yamejitokeza katika:
Imani amesoma hadi chuo kikuu.tunaelezwa jinsi alivyodanganyiwa na wenzake ndipo akafungwa gerezani.
Mwalimu majisifu amesoma hadi ng'ambo ambako babake alitaka asomee ukasisi lakini alipofika huko anageuka.
Mashaka ambaye ni binti ya mtemi ni mwanafunzi katika shule ya upili ya nasaba bora. Mashaka anamtembelea amu yake ambaye ni majisifu kwa nia ya kuwmeleza masomo yanavyoendelea.
Wanafunzi wa chuo kikuu cha wangwani wabamwanfikia mwalimu majisifu barua ili aje awatolee mhadhara wa kidagaa kimrmeozea.madhubuti anachamgiwa pesa na wnananchi kw lazima na kutumwa akasomee ulaya.
Aao rafiki ya amani anafanyiwa mtihani ili apite.fao na amani wote wanapita na kujiunga na vyuo sawa.
dantanoquido answered the question on April 24, 2018 at 17:17

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions