Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

“Mwendazake alikuwa mcha Mungu pengo aliloacha halijaziki. Atakumbukwa milele daima. Mungu ….” (i) Tambua muktadha wa rejista hii.....

“Mwendazake alikuwa mcha Mungu pengo aliloacha halijaziki. Atakumbukwa milele
daima. Mungu ….”
(i) Tambua muktadha wa rejista hii.
(ii) Eleza sifa za rejista hii.

Answers


ESTHER
(i) Ni lugha ya mazishi / maziko / maombolezi.
(ii) Sifa za lugha hii
(a) Matumizi ya lugha ya kuliwaza. Mfano. Pole.
(b) Sauti huwa ya chini na nyenyekevu.
(c ) Matumizi ya lugha ya kurejelea yaliyopita hasa sifa nzuri za marehemu.
(d) Matumizi ya lugha ya majonzi / huzuni mf. Masikitiko, kuomboleza.
(e) Matumizi ya lugha ya matumaini.
(f) Msamiati maalum wa maombolezi mf. Marehemu mwendazake, hayati, jeneza, kaburi.
ESTHER STEVE answered the question on April 28, 2018 at 15:51

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions