Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa ki-isimu. Thibitisha kauli hii.

Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa ki-isimu. Thibitisha kauli hii.

Answers


ESTHER
Kufanana kwa msamiati km. ulimi (kisw) , Rurimi (kikuyu) lulimi (kibukusu)
- Maneno ya Kiswahili yana viambishi km yale ya kibantu mf. M-tu (Kiswahili) , Mu-ntu (zulu), mu-undu (kikuyu)
- Mpangilio wa maneno mf. Mtu mmoja (Kiswahili)
- Mundu umwe (Kikuyu), Muntu umwe (Kimeru)
- Muundo wa maneno kufanana – hutamkwa kisilabi
- Muundo wa maneno kuishia kwa irabu
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 20:40

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions