Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Kufanikiwa kwa uwasilishaji wa tanzu ya fasihi simulizi hutegemea fanani. Jadili

Kufanikiwa kwa uwasilishaji wa tanzu ya fasihi simulizi hutegemea fanani. Jadili

Answers


martin
fanani lazima aweze kuelewa wahuhusika ili ajue wasilisho lake kama litafaulu
fanani analazimika kuwa mcheshi katika uwasilishaji wake ili wasilisho lake liwe la kufana na kueleweka
fanani lazima avae nguo ambazo ni za kuwasilisha ujumbe aliouchagua ili watu husika waweze kumwelewa vyema fanani lazima atumie mbinu muhimu za uigizaji ili kufanikisha wasilisho lake
fanani mzuri anafaa kutumia ishara panapohitajika ili kufanikisha wasilisho lake
fanani mzuri pia afaa awe na lugha inayisikika vyema katika uwasilishaji wake ili aweze kueleweka
jeymartinsmartoh answered the question on August 17, 2018 at 08:58

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions