Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja sifa tano za hekaya

Taja sifa tano za hekaya

Answers


KELVIN
•Ni masimulizi ya moja kwa moja kwa lugha nathari.
•Wahusika wake wakuu huwa sana sana sungura na Abunwasi.
•Matendo yao huwa yamejaa ujanja.
•Kisa huwa kifupi.
•Werevu na ujanja hujitokeza bayana kisani.
•Mara nyingi mafunzo huwa: hekima, maadili na mienendo ya jamii, kwa kuonyesha hila na ujanja.
•Werevu unashinda.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:30

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions