Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili kauli hii kuwa lugha ya kiswahili ni lugha ya kiarabu

Jadili kauli hii kuwa lugha ya kiswahili ni lugha ya kiarabu

Answers


Veronica
Kutokana na muingiliano Wa kibiashara kati ya waarabu na watu Wa pwani, lugha ya kiswahili iliweza kuathirika na kukopa jumla ya asilimia thelathini ya maneno kutoka lugha ya kiarabu.
Mfano wa neno la kiswahili lililokopwa kutoka kiarabu ni;
sabbaba - sababu

Ronieh answered the question on August 10, 2018 at 08:27

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions