Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza matumizi ya hojaji katika kukusanya fasihi huku ukieleza aina tofauti za hojaji

Eleza matumizi ya hojaji katika kukusanya fasihi huku ukieleza aina tofauti za hojaji

Answers


KELVIN
Ni fomu yenye maswali yaliyochapishwa ili kukusanya habari fulani huandaliwa na mkusanyaji wa data na kutumwa au kupelekwa kwa mhojiwa au atakayejaza hojaji ni za aina mbili.
a) Hojaji funge
Humfunga mhojiwa kwa majibu fulani tu kila swali huwa na orodha ya majibu na mhojiwa huhitajika kuweka alama tu kwa lile analoona kuwa jibu sahihi
b) Hojaji wazi/huru
Aina hii ya hojaji huwa na maswali ambayo yanahitaji majibu ya maelezo mhojiwa hutoa maoni yake.

kalvinspartan answered the question on August 5, 2018 at 12:47

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions